Jamani… Mama Wema Mikononi Mwa Polisi?
Stori: MWANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI
DAR ES SALAAM: Msala tena! Baada ya mwanaye kukamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya, kuhama chama na juzikati nyumba yake kupigwa mawe kwa muda mrefu na watu…
