WAZIMBABWE WASUBIRI KIONGOZI MWINGINE BAADA YA MUGABE
WANANCHI wa Zimbabwe hivi sasa wana shauku ya kumjua kiongozi wao mpya baada ya Robert Mugabe kuachia ngazi ya urais wa nchi hiyo kufuatia kuitawala kwa miaka 37.
Enzi za Mugabe zilikoma jana katika tangazo lililotolewa …
