Maskini Robinho Sasa ‘Kuozea’ Jela
Mshambuliaji nyota wa zamani wa Brazil, Robinho de Souza, ameshindwa rufaa yake katika mahakama ya juu nchini Italia, hivyo atalazimika kukaa gerezani kwa miaka 9 kufuatia kukutwa na hatia katika kesi ya ubakaji iliyotolewa hukumu mwaka…
