Kesi ya R. Kelly juu ya unyanyasaji wa kingono yaibuka upya
WANAWAKE wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamuziki wa R&B,R Kelly.
Rochelle Washington na Latresa Scaff walizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa…
