Rock City wamsubiri Ne-Yo kwa hamu
Shaffer Chimere Smith ‘Ne-Yo’
MKALI wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-Yo’ anatarajiwa kushuka Mei 21, mwaka huu ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza maarufu kama Rock City na kupiga shoo ya ‘live’…
