INADAIWA TANZANIA IMEMTIMUA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA (EU)
BALOZI wa Umoja wa Ulaya (EU), Roeland Van de Geer raia wa Uholanzi, anadaiwa kupewa hadi leo Novemba 3, 2018 awe ameondoka kwenye Ardhi ya Tanzania huku sababu rasmi za kuondolewa kwa balozi huyo bado hazijawekwa wazi.
…
