Mtanzania Auawa Kwa Kupigwa Risasi Nchini Marekani
MTANZANIA Rogers Kyaruzi mwenye umri wa miaka (30), aliyehamia Marekani akiwa mdogo, ametambulika kuwa ndiye aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Polisi huko Atlanta, Georgia, Jumatano ya Mei 4, 2022 nchini humo.
Kyaruzi alikuwa…
