UKATILI WA KUTISHA: HAUSIGELI AMCHOMA MOTO MTOTO WA BOSI (VIDEO)
Inasikitisha! Hausigeli aliyetajwa kwa jina moja la Maua anashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi kwa Yusufu kwa kudaiwa kumchoma moto mdomoni, mkononi na kumpiga kwa mwiko kwenye uti wa mgongo, mtoto wa miaka miwili aitwaye…
