Udadisi, Ubunifu na Uvumbuzi wa Maarifa Mapya Unapotea kwa Uwepo wa Mtu/ Watu wa Kuigwa “Role…
Watu ama mtu mwenye kitu cha ziada katika jamii huigwa na wengine, watu hawa hutambulika kama kioo kwa wengine wajitazame hapo kutokana na ile ziada waliyonayo. Ziada hiyo yaweza kuwa ni mali, muonekano, maarifa au kipaji.Uziada huo ndiyo…
