Shoo ya Roma Dodoma Yaacha Gumzo (+VIDEO)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ibrahim Musa 'Roma', wikiendi hii alikuwa pande za Dom (Dodoma) katika tour aliyoipa jina la Usimsahau Mchizi ambapo atazunguka mikoa mbalimbali na kwa kuanzia, amekinukisha kinomanoma ndani ya Ukumbi…
