Roma akubali Kibamia kufungiwa, asajiliwa rasmi Basata
RAPA Roma Mkatoliki, leo Alhamisi amekabidhiwa cheti cha usajili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) baada ya kupewa masharti ya kufanya hivyo na Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ili aweze…
