Nyota wa Tarzan Ron Ely afariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
Muigizaji wa Marekani Ron Ely, anayejulikana sana kwa kuigiza nafasi ya Tarzan katika kipindi cha televisheni cha miaka ya 1960 chenye jina sawa na hilo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.
Mwanzoni kabisa, kipindi cha Tarzan…
