Ronaldo de Lima Anawaza Kumsajili Lionel Messi, CR7
STAA wa zamani wa Brazil, Ronaldo de Lima amefunguka kuwa kama angekuwa na fedha angewasajili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Ronaldo aliwahi kutesa na klabu tofauti kama Inter Milan, Real Madrid, Barcelona, PSV,AC Milan,…
