Rooney Alewa Harusini, Ampigia Magoti Meneja Wake
Wayne Rooney amemuomba radhi Kaimu Meneja wa Timu ya Taifa ya Uingereza, Gareth Southgate baada ya picha kutolewa zikimuonesha akiwa mlevi wakati wa sherehe ya harusi.Nahodha huyo alihudhuria sherehe hiyo ya harusi katika hoteli ambayo timu…
