Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Rosalyn Carter (96), Afariki
Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96), amefariki dunia.
Bi.Carter alifariki kwa amani akiwa amezungukwa na wanafamilia nyumbani kwao katika jimbo la Georgia.
Siku chache zilizopita bibi huyo…
