Mambo Magumu, Rose Muhando Aomba Kuolewa na Mume Mzungu
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.
Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu…
