JPM Achafukwa, Amwambia Rostam: Gombea Ubunge Umtoe Abood – Video
RAIS John Magufuli amemwomba aliyewahi kuwa mbunge wa wa jimbo la Igunga na mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Abdulrasul Aziz, kugombea Ubunge katika jimbo la Morogoro Mjini ili kumtoa Mbunge wa sasa, Abdul-Aziz Mohamed Abood baada…
