Chanjo ya Rotavirus Yawekwa Kwenye Mipango ya Kitaifa Nigeria
NIGERIA imeongeza chanjo ya Rotavirus katika mpango wake wa kitaifa wiki hii ambao unatarajiwa kupunguza vifo 50,000 kutokana na ugongwa wa kuhara kwa Watoto wa mwaka, uzinduzi huo uakuja kukiwa na uhaba wa chanjo hiyo kwa mataifa mbali…
