VIDEO: Kauli ya Kamanda Mpinga Baada ya Kuteuliwa Kuwa RPC Mbeya
IKIWA ni siku mbili tangu ateuliwe kuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, aliyekuwa Mkuu wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Mohamed Mpinga ametoa shukrani nyingi kwa Watanzania…
