Auawa Kwa Kuchomwa Na Kisu Kifuani, RPC Morogoro Athibitisha- Video
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Aubi Ndomi anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 38, Mkazi wa Mtaa wa Mji Mwema Kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro, amefariki dunia mara baada ya kuchomwa na kisu kifuani na mtu ambaye jina lake bado…
