Polisi Mwanza ‘Walivyoua’ Majambazi 8, RPC Afunguka – VIDEO
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limefanikiwa kuwaua majambazi nane wilayani Ukerewe Mwanza baada ya kupambana na majambazi hao huku wawili wakisadikika kutoroka.
Tukio hilo limetokea Usiku wa kuamkia leo Jumamosi katika Visiwa vya Ukerewe…
