Kibiti: Watu Wawili Wapigwa Risasi, Wapelekwa na Wahalifu Kusikojulikana
PWANI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kuwa, watu wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Nyamisati, Kibiti, kisha waliofanya uhalifu huo kuwachukua majeruhi na kuondoka nao kusikojulikana.
Awali taarifa…
