Winga wa RS Berkane Tuisila Kisinda Awagawa Mabosi Yanga Ishu ya Kurudi Msimu Ujao
WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka kumrejesha kikosini hapo msimu ujao.
Hivi karibuni tetesi zilienea za winga huyo kurejeshwa…
