Majaliwa Atua Ruangwa, Afanya Hili…
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo (Jumatatu, Desemba 28, 2020) amepokea vyumba 11 vya madarasa, ofisi mbili za walimu, samani na chumba maalumu cha wasichana vilivyojengwa na Benki ya TPB PLC katika shule ya msingi ya Nandagala…
