Rufani ya Wasira yawekewa pingamizi
Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini, Rosemary Ibrahim, amesema kesi ya rufani iliyowekwa na wapigakura wa Jimbo la Bunda Mjini dhidi ya mbunge wa jimbo hilo, Esther Bulaya, ataitolea uamuzi Machi 14, mwaka huu, baada ya…
