Mambosasa Atembelea Askari Rufiji, Akabidhi Zawadi
Kamishna Mambosasa (kulia) akisalimiana na mmoja wa askari wa Wilaya ya Rufiji.
KAMISHNA wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, leo amefanya ziara katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Rufiji na kuzungumza na…
