VIFO VYA WANAHABARI CHANZO CHATAJWA
MSIBA mbichi ni wa mwanahabari nguli nchini, Ephraim Samson Kibonde (47) ambaye alifariki dunia ghafla Machi 7, mwaka huu na kuongeza orodha ya vifo vya wanatasnia hiyo vilivyoacha mshtuko na maswali mengi juu ya vyanzo vyake. …
