Rugemalira Atoa Sadaka ya Shukrani Kanisani
Siku tatu baada ya kuachiwa huru mfanyabiashara James Rugemalira, jana Septemba 19 ameungana na waumini wenzake wa Parokia ya Makongo Juu kushiriki ibada ya misa takatifu ya Jumapili.
Mfanyabiashara huyo aliachiwa huru Alhamisi…
