Televisheni 5 ‘Kushushiwa Rungu’… Kituo cha Haki za Binadamu Waijia Juu TCRA
IKIWA ni siku moja baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuvipiga faini vituo vitano vya runinga kwa kuvunja sheria za urushwaji wa matangazo na maudhui, Kituo cha Haki za Binadamu, LHRC kimeijia juu mamlaka hiyo na…
