×

Tag: Russia

Ukraine: Mazungumzo ya Awali ya Maafisa wa Marekani na Russia Yatoa Matumaini

MAAFISA wa juu wa ulinzi wa Marekani na Russia wamezungumza kwa simu Ijumaa ikiwa ni mara ya kwanza baada ya...

READ MORE

Boris Johnson: Kama Putin Angekuwa Mwanamke Naamini Asingevamia Ukraine

WAZIRI MKUU wa Uingereza Boris Johnson ameibuka na kusema kuwa kama Rais wa Urusi Vladimir Putin angekuwa mwanamke basi asingeweza...

READ MORE

Kombora la Majeshi ya Urusi Lateketeza Kituo cha Kijeshi Nchini Ukraine

KITUO cha kijeshi cha Lviv nchini Ukraine kimeharibiwa vibaya na shambulio la kombora la Urusi, Gavana wa eneo hilo, Maksym...

READ MORE

Baraza la Usalama Ukraine Lafanya Umafia, Lakamata Benki 2 za Urusi

MAMLAKA mjini Kiev nchini Ukraine imekamata mali za benki kuu mbili za Urusi nchini humo ambazo ni Sberbank na VEB.RF....

READ MORE

Baada ya Vitisho vya Urusi, Hatimaye Finland Yatangaza Kujiunga NATO

RAIS wa Finland Sauli Niinisto ametangaza nchi yake kujiunga na Jumuiya ya Umoja wa kujihami wa Mataifa ya Magharibi (NATO),...

READ MORE

Majeshi ya Ukraine Yatungua Ndege ya Urusi, Yatuma Salamu za Shukrani Uingereza

KATIKA hali ya kufurahishwa na maendeleo ya vita yao dhidi ya majeshi ya Urusi Yuriy Kochevenko moja ya wanajeshi wa...

READ MORE

Vikwazo vyaipa wakati mgumu Urusi

“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...

READ MORE

Abramovic Awachanganya Mashabiki

BILIONEA Roman Abramovich ametoa ujumbe unaoonyesha kuwa amejiuzulu kuimiliki Chelsea lakini bado ujumbe huo hauko wazi sana. Hiyo ni baada...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Uwazi AU...

READ MORE

Meli 2 Zenye Bendera ya Tanzania Zawaka Moto Urusi, 14 Wafariki

  WATU 14 wanadaiwa kupoteza maisha na wengine watano hawajulikani walipo kufuatia meli mbili za mizigo Maestro na Candy, zilizokuwa zikipeperusha...

READ MORE

KOMBE LA DUNIA: URUSI YAINYUKA SAUDI ARABIA 5-0 (VIDEO)

MCHEZO wa ufunguzi wa michuano ya fainali ya Kombe la Dunia umemalizika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na...

READ MORE

WATOTO WA KIKE WAFA KWA KUJIRUSHA GHOROFANI RUSSIA

    POLISI wa Izhevsk, Jamhuri ya Udmurt, Russia, wanachunguza iwapo vifo vya watoto wawili wa kike waliojirusha na kufa...

READ MORE

PUTIN ASEMA: SIJAWAHI KUWA NA ‘SMARTPHONE’

“SINA simu ya smartphone,” ndivyo ambavyo husema Rais wa Russia, Vladimir Putin, kila anapoulizwa iwapo ana simu hizo za kisasa....

READ MORE

DENTI AUAWA KWA UMEME AKICHAJI SIMU BAFUNI

Kseniya wakati wa uhai wake.  Msichana huyo alikutwa akiwa amezimia kabla ya kufa akiwa katika jakuzi alilokuwa akiogea huku simu...

READ MORE

Ndege Ya Jeshi Ya Russia Yaanguka Baharini Sochi

   Ndege kama hii ya  ya jeshi la Russia aina ya Tupolev Tu-154 iliyoanguka katika bahari ya Black Sea ....

READ MORE