Yanga Wamzimia Simu Beki Mnyarwanda
HALI imeenda ndivyo sivyo katika usajili wa Eric Rutanga baada ya beki huyo kusema kuwa mabosi wa Yanga wamemchunia tangu asaini mkataba wa awali na timu hiyo.
Rutanga ambaye hapo awali alituthibitishia kuwa amesajiliwa na…
