Kwa Simba hii unakufa tu
SIMBA ya sasa ukikutana nayo unakufa tu, hakuna ubishi kuhusu hilo, jana imefanikiwa kushinda mechi ya nne mfululizo kwenye Ligi Kuu Bara.
Ni baada ya kuichapa Ruvu Shooting mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es…
