Uingereza Yatoa Uamuzi Mgumu, Wahamiaji Haramu Kupelekwa Afrika Mashariki
SERIKALI ya Uingereza kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Priti Patel inataraji kusaini mkataba na serikali ya Rwanda ambao utadumu kwa muda wa miaka mitano 5 wenye dhumuni la serikali ya Rwanda kupokea wakimbizi haramu…
