Simba Kamili Gado Kuwavaa Kagera
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.
Simba inayonolewa na Kocha…
