Mtoto Ryan Aliyeanguka Kisimani Azikwa
NCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa kisimani kwa siku tano.
Rayan alianguka chini kwenye kisima cha mita 32 (futi 104) Februari 1,…
