Siri nne za Simba Zahera alizotoa kwa Wakongo
UONGOZI wa AS Vita umeshtuka mapema na kutuma timu ya watu sita kuweka mambo sawa baada ya kumaliza mechi yao ya nyumbani na Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Watu hao wametua nchini tangu wikiendi iliyopita wakati Simba…
