Kesi ya Kuvamiwa Studio za S2Kizzy Yafikia Hapa
Producer S2Kizzy amefunguka kinachoendelea kwenye kesi ya kuvamiwa na kushambuliwa studio kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni sungusungu kwa kusema wapelelezi wanaendelea na uchunguzi pia kuna watuhumiwa tayari wameshakamatwa.…
