ZIFAHAMU AINA 10 ZA SAA ZA GHARAMA ZAIDI DUNIANI
SAA tunazovaa kwenye mikono hutusaidia kuelewa muda au wakati, lakini pia ni alama ya utajiri ambao unaweza kujivunia bila hata ya kusema neno moja. Zifuatazo ni aina 10 ya saa za gharama zaidi duniani.
1. Graff Diamonds Hallucination…
