Saby Angel: Afungukia Kufichwa Nje ya Nchi
BAADA ya kupotea kwa kipindi kirefu huku tetesi zikienea kuwa amefichwa nje ya nchi na pedeshee, msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni mwanamuziki, Sabrinah Omary ‘Saby Angel’ ameibuka na kufunguka kuwa hakufichwa bali alikuwa akifanya…
