Dk. Shein Aongoza hitma ya Kumuombea Dk. Badriya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj, Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea Dk. Badriya Abubakar Gurnal mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) iliyofanyika katika…
