MWAKIBINGA: WAPINZANI WANAHAMA KWA KUVUTIWA NA JPM
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), James Mwakibinga amesema sababu zinazowafanya wanasiasa wa upinzani kuhamia CCM ni utendaji kazi wa Rais John Magufuli hasa katika kusimamia maendeleo ya nchi ikiwemo kupiga vita…
