Mbadala wa Chama Atua Kambini Morocco
IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mchezeshaji raia wa Mali, Sadio Kanoute, juzi jioni alijiunga na kambi ya Simba nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22.
Kiungo huyo aliyeletwa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Mzambia,…
