Sadney Apewa Program Maalumu Yanga
BAADA ya kuonekana kutokuwa vizuri katika kuzifumania nyavu, mshambuliaji wa Yanga, Mnamibia, Sadney Urikhob ameandaliwa program kabambe ya kuhakikisha anakuwa fiti.
Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera amemwandalia…
