USHUHUDA: SAID! Hatasahau Alivyotobolewa Macho na Scropion! – VIDEO
Katika kipindi cha 'Ushuhuda' wiki hii tunaye Kijana Said Mrisho ambaye kwa sasa ni Mlemavu wa Macho yote mawili yaani (KIPOFU) ambaye alipata ulemavu huo miaka kadhaa iliyopita baada ya kutobolewa macho yake na kijana mmoja aliyefahamika…
