The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Said Ndemla

Said Ndemla yamkuta Simba

KIUNGO mwenye zali la kupendwa na mashabiki wa Simba, Said Ndemla anadodea benchi. Amekata tamaa ya kuvaa uzi wa kikosi cha kwanza msimu huu. Rekodi zinaonyesha kuwa Ndemla mara ya mwisho kupata nafasi ya kuanza katika…

NDEMLA AGOMEA MAMILIONI YA MO

TATIZO siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo.…