MTOTO WA MIAKA 17, ATIWA MBARONI KWA KUJIFANYA MWANAJESHI (Video)
Kijana Said Selemani, mwenye umri wa miaka 17, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Fahari iliyopo Goba, amekamatwa na jeshi la polisi kwa kosa la kujifanya askari wa jeshi na amekuwa akilazimisha kupata huduma,…
