Saida Karoli: Bora Kukaanga Vitumbua au Maandazi Kuliko Kuimba
KUPITIA kipindi cha Take One cha Clouds TV, msanii maarufu wa nyimbo za asili nchini, Saida Karoli amefunguka jinsi alivyodhurumiwa kazi zake za sanaa kwa kutojua kusoma na kuandika.
Mtangazaji na mwendeshaji wa kipindi hicho,…
