Saleh Ally: Ambundo Anatakiwa Kujitafakari Zaidi Kuliko Ntibazonkiza
MCHAMBUZI mwandamizi wa michezo nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema kuwa mchezaji wa Yanga Dickson Ambundo anatakiwa kujitafakari zaidi pengine kuliko hata mchezaji mwenzake Saido Ntibazonkiza ambao wote wamesimamishwa na Yanga kwa kosa…
