The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Saido

Saido Njiani Kusepa Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa nyota Mrundi wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, yupo njiani kuondoka ndani ya kikosi hichobaada ya kupata ofa kadhaa nje ya nchi ikiwemo klabu za Afrika na Uarabuni. Nyota huyu ambaye anamaliza mkataba wake na…

Saido Afungukia Hatma Yake Yanga

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa aendi popote na ataendelea na timu hiyo katika msimu mwingine mmoja. Kauli hiyo imewafurahisha mashabiki wa timu…

Saido Apewa Jukumu Zito Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, amepewa jukumu zito na kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi kwa kuhakikisha anapambana na wachezaji wenzake kuisaidia timu hiyo kuchukua ubingwa msimu huu.…

Saido Nje Mwezi Mzima Yanga

NYOTA mpya kunako kikosi cha Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ raia wa Burundi, imebainika kwamba atakaa nje ya dimba kwa takribani mwezi mmoja akiuguza majeraha aliyoyapata katika michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika Januari…

Saido Awekwa Chini ya Ulinzi…

ZIKIWA zimebaki siku nne pekee kabla ya kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, presha imeshuka ndani ya kikosi cha Yanga baada ya wachezaji watatu kati ya wanne waliokuwa majeruhi kuanza rasmi mazoezi ya pamoja na wenzao.…

Saido Hali Yake Bado Tete Yanga

HALI bado ni tete kwa nyota wanne wa kikosi cha klabu ya Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, Yacouba Sogne, Dikson Job na Michael Sarpong ambao wameshindwa kufanya mazoezi ya pamoja na wenzao kutokana na kusumbuliwa na majeraha.…

Fiston Apigwa Mkwara Mzito…

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ameonyesha hataki mchezo ndani ya kikosi hicho kufuatia kuwataka nyota wote wa kikosi hicho akiwemo Saido Ntibazonkiza ‘Saido’ na Fiston Abdulrazak kuhakikisha wanaulinda uzito waliokuwa nao. …

Saido Agomea Hoteli Zanzibar

NASEMEKANA kuwa baadhi ya mastaa wa Yanga wamegomea hoteli maalum waliyoandaliwa na waandaaji wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Hiyo ikiwa dakika chache tangu kikosi cha timu hiyo kitue Unguja, Zanzibar kwa ajili ya…

Saido Aanza Kuitisha Simba

SUPASTAAmpya wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amewatisha wapinzani wao, Simba kwa kuwaambia wakikutana uwanjani atapambana kwa ajili ya kufanya vizuri.Saido ameongeza kwamba, licha ya kufunga mabao mawili kwenye mechi yake…