Apoteza Kipini cha Puani, Chakutwa Kwenye Mapafu Baada ya Miaka 5
JAMAA huyo wa nchini Marekani kwa jina la Joey Lykins (35) alilala alipoamka akawa hakioni kipini chake cha pua. Alihangaika kukitafuta kwa udi na uvumba bila mafanikio lakini miaka mitano baadaye kimekuja kuonekana katika mapafu yake.…
